Ararati Media inaheshimu faragha ya wasomaji, watazamaji na wadau wake. Tumejidhatiti kulinda taarifa binafsi tunazokusanya kupitia tovuti, mitandao ya kijamii na majukwaa yetu ya kidijitali.
Taarifa zozote binafsi zinazotolewa kwetu hutumika kwa madhumuni ya mawasiliano, kuboresha huduma zetu na kutoa maudhui yanayowafaa watumiaji.
Ararati Media – Kilele cha Ukweli.



